Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam


6/1/2026
—————————
Nyumba ya vyumba 2 inapangishwa laki 5
—————
Ipo mbweni jkt nyumba lami
———
Nyumba mpya Inavyumba 2 vya ni master sebule jiko la open kitchen na Pabric toilet
—————————————
Bei laki 5 kwa mwezi
Malipo miezi 6 na KUENDELEA
——————————-
Piga simu O745010009 au 0742707023



















