Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mhongolo, Shinyanga
14/12/2024/nyumba inapangishwa ipo mhongolo kahama sifa yanyumba inavyumba 2vyakulala kimoja mastar jiko sembule kumbwa choo ya wageni umeme unajitengemea na maji Kodi 250000/kwa mwezi kwamawasiliano/0752587400 /0621625987