Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mjini, Ruvuma


*🏡 NAPANGISHA NYUMBA NZIMA – MAONYESHO, SINGIDA 📍*
Nyumba nzuri ya kisasa inapangishwa ikiwa na:
✅ Vyumba 2 (kimoja ni Master)
✅ Sebule kubwa
✅ Jiko la ndani + *Stoo*
✅ *Jiko la nje* pia lipo
✅ Public Toilet & Bathroom
✅ *Parking ya gari* iliyoezekwa – mvua wala jua haigusi gari lako
✅ Fence & usalama upo
💰 *Kodi: Tsh 350,000 kwa mwezi*
📍 Ipo Maonyesho, Singida Mjini
📞 Wasiliana: 0658 128 485
#NyumbaInapangishwa_dalalisingida #Maonyesho_singida #Singida


















