Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mjini, Ruvuma







APARTMENT #MPYAAA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE
#KODI 270,000X6
LOCATION: #KIMARA_MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
UMBALI KM 1.5
BODA 1000
BAJAJI 700
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA SANA
#CHOO CHA FAMILIA CHA NDANI
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
HAIPO NDANI YA FENSI ILA USALAMA WA KUTOSHA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA