Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Moshono, Arusha


NYUMBA INAPANGISHWA MOSHONO ARUSHA
Ina Room Mbili zakulala Haina Master
Ina Sebule
Ina Jiko lenye Makabati
Ina Parking
Inajitegemea umeme na Maji
Kila mtu ana Tank lake la maji
Ina Heater System
Full Security
Bei 300,000 Kwa mwezi
.
Contacts - 0683545452
Instagram - dalalidavearusha
.
#arushanationalpark #arushatanzania #houseforrent #dalalidavearusha #dalaliwanyumbazakupangaarusha