Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Moshono, Arusha


INAPANGISHWA MOSHONO NYAMA PORI ARUSHA
NI NYUMBA YENYE ROOM MBILI ZA KULALA MOJA MASTER
INA SEBULE
INA JIKO
INA PUBLIC TOILET
INA PARKING
UMEME UNAJITEGEMEAA
BEI 300,000/= KWA MWEZ
CALL 0758105801