Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Moshono, Arusha
Njoo na 200,000/= tu
INAPANGISHWA MOSHONO KWA BABA D ARUSHA
Wapangaji watatu tu
Ni nyumba yenye room mbili za kulala moja master
Ina sebule
Ina jiko
Ina choo cha public
Wapangaji watatu
Ina parking
Bei 200,000/= kwa mwez
Call 0758105801