Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Moshono, Arusha
INAPANGISHWA MOSHONO ARUSHA
NI NYUMBA CLASIC
Ni nyumba yenye room mbili za kulala moja master
Ina sebuleee
Ina jiko lenye makabati
Ina public toilet
Ina haeter ya maji moto
Ina parking
Inajitegemeeaa umeme
Bei 450,000/= kwa mwez
Call 0758105801