Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Msasani, Dar Es Salaam
NYUMBA STAND ALONE INAPANGISHWA
LOCATION MSASANI(KABLA YA MAILI6)
KODI 250000*4 PLUS MWEZI MMOJA WA DALALI
📌SEBULE
📌JIKO
📌VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA NI MASTER
📌PUBLIC TOILET
📌HEATER
📌ELECTRIC FENCE
📌UMEME NA MAJI YAKO MWENYEWE
📌CAR PARKING
luluz_kitchen_moshi