Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Msingi, Singida
Kiwanja Kinauzwa Malamba Mawili.
- Kina msingi wa chumba kimoja na sebule
- Mtaa umejengeja
- Huduma za kijamii zipo
.
Unaweza jenga nyumba ya vyumba viwili mbaka tatu na kubaki na parking.
Bei Mil 12 maongezi yapo.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 📞 0688 412 890.