Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mwananyamala, Dar Es Salaam


Upande unapangishwa
Location:- Mwananyamala A
Price:- 450K kwa mwezi
Malipo ya miezi 6
Sifa zake:-
1.Ina vyumba viwili vya kulala
2 Sebule
3.Jiko
4.Public toilet
Angalizo gharama za kupelekwa kuona
Malipo ya dalali ni kodi ya mwezi mmoja pindi ulipiapo Nyumba
Kwa maelezo zaidi piga
0712531657
0789731695