Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Nkuhungu, Dodoma
NYUMBA INAPANGISHWA NKUHUNGU
NYUMBA YA KWANZA KWENYE BARABARA YA LAMI.
MUUNDO WAKE.
✔️ROOM 2 - 1 MASTER
✔️SEBLE
✔️JIKO
✔️PUBLICTOILET
👉HUDUMA ZOTE INAJITEGEMEA
▫️UMEME NA MAJI
▫️PIA KUNA TANK YA MAJI RESERVES
👉KOD TSH LAK 250,000/=
malipo ni miez mitatu.
Beba pesa njoo site
▪️Service charge n Tsh 10,000/=
▪️Malipo ya kaz n kod mwezi mmoja toka kwako mpangaji wetu.