Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Nyasaka, Mwanza
NYASAKA MWANZA NYUMBA MPYAAA ZINAPANGISHWA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA ((SELF 1 NA AC YAKE))
SEBURE NA AC YAKE
P.TOILET
HEATER
R.W.TANK
REMOTE GATE
CAR PARKING
BEI 500K KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 6
0767241001
NB
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA