Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Olasiti, Arusha
NYUMBA INAPANGISHWA OLASITI ARUSHA
Ina Room Mbili zakulala Moja Master
Ina Sebule
Ina Jiko
Ina Parking
Itakuwa wazi mwisho wa mwezi
Wapangaji watatu
Bei 200,000 kwa mwezi
.
Contacts- 0683545452