Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Olasiti, Arusha


INAPANGISHWA OLASITI KANISA KATOLIKI ARUSHA
Ni nyumba yenye room mbili za kulala moja master
Ina Public Toilet
Ina Sebule
Ina Jiko lenye
Ina Parking
umeme unanietegemea na maji
Bei 200,000/= Kwa Mwezi
Kodi ilipwe miezi sitaa
Call 0758105801/0769077001