Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Olasiti, Arusha
INAPANGISHWA OLASITI ARUSHA
Nyumba ipo ndani ya fance
Ni nyumba yenye room mbili za kulala moja master
Ina sebulee kubwaa na dirning
Ina jiko
Ina public toilet
Ina heater ya maji moto
Ina parking kubwaa
Nyumba ipo ndani ya uzio
Bei 250,000/= kwa mwez
Call 0758105801