Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA (IKO YENYEWE KWENYE FENSI)
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (MASTER 1), SEBULE NA SEHEMU YA KUPIKIA KWA NNJE.
MAJI NA UMEME INAJITEGEMEA.
LOCATION: PUGU KANISANI
KODI: 150,000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
MALIPO YA DALALI 150,000, SERVICE CHARGE 10000 KAMA NYUMBA HAILIPIWI HAPO HAPO.
CONTACT: 0760053111
0614130017