Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA (IPO NDANI YA FENSI)
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE NA JIKO.
MAJI NI DAWASA YANATOKA CHOONI.. UMEME WANASHEA WAWILI.
KODI: 150000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU KISUMU
0760053111
0614130017