Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA (NYUMBA MPYAAA)
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (VYOTE MASTER) SEBULE NA JIKO LENYE KABATI. UMEME INAJITEGEMEA, FENI SEBULENI NA VYUMBANI KOTE. MAJI DAWASA YANATOKA CHOONI.
KODI: 150000 KWA MWEZI, MALIPO MIEZI 6.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI.. UKISHUKA STENDI UNAPIGA TEKE MLANGO UNAINGIA NDANI.
CONTACT: 0788156493 0614130017 0760053111