Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE NA JIKO KUBWA, CHOO CHA NDANI PUBLIC.
UMEME INAJITEGEMEA NA MAJI TENKI LAKWAKO MWENYEWE.
KODI: 200000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI SITA.
LOCATION: PUGU, KITUO SHULE YA MSINGI.
CONTACT: 0788156493
0614130017