Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA (IKO YENYEWE KWENYE FENSI)
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE NA JIKO. MAJI DAWASA MITA INAJITEGEMEA NA UMEME UNAJITEGEMEA.
LOCATION: PUGU KWA RAIS (SIO MBALI NA KITUO CHA DALADALA)
KODI: 180000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI 6.
CONTACT: 0788156493
0760053111
0614130017