Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER) VYUMBA VYOTE VINAFENI, SEBULE NZURI YENYE FENI NA JIKO LENYE MAKABATI.
UMEME KILA NYUMBA INAJITEGEMEA.. MAJI (DAWASA).
KODI: 200000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE.
LOCATION: PUGU, KITUO KISUMU.
CONTACT: 0614130017 0788156493