Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Sakina, Arusha
NYUMBA INAPANGISHWA SAKINA ARUSHA
Ni nyumba yenye room mbili za kulala moja master
Ina makabati vyumbani
Ina sebule kubwaaa
Ina jiko lenye makabati
Ina choo cha public
Ina parking
Ina heater ya maji moto
Umeme unajitegemea
Maji unajitegemea
Bei 450,000/= kwa mwezi
.
CONTACTS- 0683545452