Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Sakina, Arusha


NYUMBA INAPANGISHWA SAKINA KWA IDD
Ina Room Mbili Zakulala Moja Master
Ina Sebule kubwa
Ina Jiko
Ina Dinning
Ina Public Toilet
Ina Parking
Ina stoo
Unajitegemea umeme
Ipo mita 150 tuu kutoka lami
Bei 300,000 kwa Mwezi
.
Contacts- 0683545452