Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Salama, Mara


🏡 Nyumba za Kupangisha – Vyumba 2
Makongo Juu – Mtipesa
✨ Furahia maisha ya utulivu na starehe katika nyumba safi zenye huduma zote muhimu!
🏠 Maelezo ya Nyumba:
1️⃣ Nyumba ya Vyumba 2 – TZS 700,000/-
• ✅ Vyumba 2 (1 ni master)
• ✅ Sebule kubwa yenye nafasi
• ✅ Jiko zuri lenye makabati
• ✅ Choo cha kawaida (public toilet)
📍 Mahali
Makongo Juu – Mtipesa (Eneo tulivu na salama)
🛠 Huduma Zinazopatikana:
• ✔ Parking ya uhakika
• ✔ Maji ya uhakika
• ✔ Heater inapatikana
💰 Masharti ya Malipo:
• Kodi ya mwezi:
• TZS 700,000/- (vyumba 2)
• Malipo ya Miezi 6 kwa mara moja
💵 Gharama Nyingine:
• 🔹 Service charge: TZS 20,000 (malipo ya mara moja tu)
• 🔹 Udalali: Kodi ya mwezi mmoja
📞 Wasiliana Nasi Sasa:
📲 Piga au WhatsApp: 0652251725
Usikose nafasi hii – nyumba safi, nzuri na zenye nafasi kubwa!