Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Salama, Mara
NYUMBA INAPANGISHWA MOSHI BEI SAFII!!
Location; Mbwaruki Moshi, kilometer 1 kutoka barabara kuu!
Nyumba Ina vyumba 2 vyote ni master, sebule, jiko full tiles,
Umeme wa kujitegemea, parking kubwa na fence. Nyumba ziko 4 kwenye compound, mazingira ni mazuri salama na tulivu.
Bei ni 170k (laki moja na sabini) × miezi 3
Kwamaelezo zaidi nichek 0753146004