Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


NYUMBA
@
Inapangishwa
@
Bei 700.000 kwa mwez
@
Mahali sinza
@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Ni nyumba ya vyumba 2 sebule jiko choo
@
Chumba kimoja master
@
Umeme mita yako na maji pia
@
Pazur sanaaaaa
@
Gatama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687



















