Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
.
Inapangishwa SINZA
Ina vyumba viwili vya kulala kimoja kina choo ndani
Sebule
Jiko
Nyumba ya kisasa mno
Kodi 1,000,000/= Tzs kwa mwezi
Viewing fee 20,000/= Tzs
Agency fee 1,000,000/= Tzs
Piga: 0769138053