Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Soweto, Kilimanjaro


NYUMBA INAPANGISHWA
LOCATION SOWETO(JIRANI NA HUGOZ)
KODI 200000*6 PLUS MWEZI MMOJA WA DALALI
📌SEBULE
📌VYUMBA VIWILI VYA KULALA
📌JIKO
📌PUBLIC TOILET NA BAFU
📌UMEME WAKO MWENYEWE MAJI MNASHARE
📌NYUMBA IPO NDANI YA GETI NA INA UKUTA
📌GARDEN
📌CARPARKING YA KUTOSHA KARIBUNI
luluz_kitchen_moshi