Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







Nyumba mpya inapangishwa Tabata Segerea. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba viwili (vyote master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Master ina showcase
- Water heater
- A/C vyumba vyote
- Paving anaweka
- Electronic fence
- Dakika 5 kutoka kituoni
Kodi 600,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.