Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Kinyerezi.
(NI FULL FURNITURE).
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Full A/C
- Maji 24/7
- Wi-Fi
- DSTV
- Netflix
- Paving
- Parking
- Water reserve tank
- Electric fence
- Mlinzi wa kampuni
Kodi 600,000/= miezi kwanzia mitatu.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.