Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


STEND ALONE HOUSE 🏠/ NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE
__________________
INAPANGISHWA
IPO TABATA SEGEREA VIWANJA VYA BANK
INA VYUMBA VIWILI
KIMOJA MASTA
SEBULE
JIKO
_______
NDANI YA FENCE INAJITEGEMEA YENYEWE
PARKING
MAJI UMEME FULL
_____________
KODI I TSH 300,000 KWA MWEZI
PIGA 👉 0788373343
SERVICE CHARGE 15000
================