Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba ya vyumba viwili (kimoja master), sebule, jiko na public toilet. Tabata Segerea kwa Bibi.
Kila kitu unajitegemea.
Mtu anahama J5.
Kuona na kulipia ruksa.
Mazingira yanajieleza mteja serious aje aone.
Kodi 300,000/= MIEZI SITA!!!
Service charge 10,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 📞 0688 412 890.