Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Tabata Baracuda Cha'ngombe. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko anaweka makabati
- Public toilet
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving anaweka
- Parking
- Fence
- Dakika 5 kutoka kituoni
Kodi 350,000/=.
Ipo hatua za mwisho. Kuingia ni tarehe 25 mwezi wa pili.
Pesa anapokea.
Muhitaji piga 0688 412 890.