Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA IPO KWENYE FENCE TABATA SEGEREA
Bei:350,000/ Per Month
Payment Terms: 6 Months in Advance
____________________________________
📍Malipo ya Dalali ni ya Mwezi 1
📍Service Change:20,000
____________________________________
📍LOCATION: TABATA SEGEREA (VIWANJA VYA BANK)
DAR ES SALAAM-TANZANIA
📍DISTANCE- DAKIKA 1 KUTOKA MAIN ROAD
➡️PROPERTIES OF THE HOUSE 🏠
__________________________________
📍Vyumba 2 vya kulala
📍Vyote master
📍Sebule kubwa
📍Dinning Room
📍Jiko Safi la makabati
📍Stoo
📍Mafeni juu
📍Public toilet
📍Space parking Car
📍Peving Block
➡️ITS SERVICES
________________
📍Maji dawasco 24hrs
📍Reserve water tank
📍Umeme unajitegemea
➡️Nyumba ya kisasa zipo katika mazingira Tulivu Usalama wa uwakika
Kwa Mawasiliano
Calls:
0684275427/ Whatsp /Calls
0614363604/Whatsp/Calls