Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







Tabata Segerea
Dakika 5
Nyumba mpya ya vyumba viwili (vyote master), sebule, jiko, public toilet njee.
Wapangaji watatu.
Kila kitu unajitegemea.
Paving anaweka.
Kodi 400,000/= miezi 6.
Ipo hatua za mwisho.
Kuona na kulipia ruksa.
KUINGIA TAREHE 15/08/2025
Muhitaji piga 0688 412 890.