Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa Tabata Segerea Chama.
Ukubwa: SQM 600
Bei: Mil 200
Ndani kuna nyumba 2 za kupanga. Zenye sifa zifwatazo.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko
- Public toilet
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving
- Parking
- Fence
- Wapangaji wawili
Kodi 350,000/= kwa kila moja jumla 700,000/=.
Na kuna master, sebule na jiko kodi 200,000/=.
Na kuna master kodi 100,000/=.
Jumla 1,000,000/= kwa mwezi makusanyo.
Ni fursa nzuri sana kwa wawekezaji.
Muhitaji piga 0688 412 890.