Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


STEND ALONE HOUSE 🏠/NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE
INAPANGISHWA IPO TABATA KINYEREZI SONGAS
_______________________
INA VYUMBA VIWILI
KIMOJA MASTA
SEBULE
DINING ROOM
JIKO
________
MAJI UMEME FULL
PARKING
NDANI YA FENCE UNAJITEGEMEA
__________
KODI TSH 500,000 KWA MWEZI
PIGA 👉 0788373343
SERVICE CHARGE 15000
===============