Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba mpya inapangishwa Tabata Segerea Mwisho.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Full A/C
- Maji 24/7
- Water reserve tank
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Parking
- Fence
- Wapangaji wawili
- Dakika 2 kutoka kituoni
Kodi 500,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga ๐ 0688 412 890.