Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba mpya ya vyumba viwili Tabata Relini.
Kila kitu unajitegemea.
Wapangaji wanne.
Fence na parking ipo ya kutosha.
Kodi 380,000/= miezi 6 au 350,000/= miezi 12
Muhitaji piga 0688 412 890.