Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Tabata Segerea. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba viwili (vyote master)
- Sebule kubwa
- Jiko kubwa lenye makabati
- Public toilet
- Maji 24/7
- A/C anaweka
- Water heater anaweka
- Paving anaweka
- Electric fence anaweka
Kodi 700,000/=.
Muhitaji piga đź“ž 0688 412 890.