Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba mpya inapangishwa Tabata Bima.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko
- Public toilet
- Maji 24/7
- Water reserve tank
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving
- Fence
- Dakika 2 kutoka kituoni
Kodi 400,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 📞 0688 412 890.