Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba mpya inapangishwa Tabata Kimanga.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Public toilet
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Dakika 1 kutoka kituoni
Kodi 300,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga ๐ 0688 412 890.