Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana mpya kabisa
Location tabata kisukuru Maji chumvi
Kodi 300000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 2 moja ni master bedroom
Sitting room
Open kitchen
Public toilet
Maji dawasa ndani yanafloo
Umeme luku yake
Parking space
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128