Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


STEND ALONE HOUSE/ NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE
___________
INAPANGISHWA IPO TABATA KINYEREZI KIBAGA
INA VYUMBA VIWILI
KIMOJA MASTA
SEBULE
DINING ROOM
JIKO
______
MAJI UMEME FULL
PARKING IPO
NDANI YA FENCE IPO YENYEWE
_______________
KODI TSH 500,000 KWA MWEZI
PIGA 👉 0788373343
SERVICE CHARGE 15000
============≠≠=====