Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tandika, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa
Location.Tandika
Upande
Ziko nyumba 2 ndani ya fensi
Ina vyumba 2 vyote masta
Sebule na jiko
Ina tailizi na madirisha Aluminium
0754206815/0629956838
Kuiona nyumba 15000
Bei ya apartment hii kwa mwezi 300000=pk250000
Karibuni wateja wangu