Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INA PANGISHWA UBUNGO RIVERSIDE
DAKIKA 12 KWA MGUU KUTEMBEA
KODI 500,000/=X6
VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA KIMOJA NI
Master bedroom
Sebule
Jiko ( Open kitchen)
Public toilet
NYUMBA NI MPYAA
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO FULL PEVING BLOCK ZINA WEKWA
LUKU YAKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
Service charge 20,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.