Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







House for rent stand alone inayojitegemea ndani fency
Location ubungo makoka km2
Kodi 400000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15 kuona nyumba
Room 2 moja ni master bedroom
Sitting room
Kitchen with cabinet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block
Parking kubwa
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















