Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
Vyumba 2, kimoja master jiko la makabati Public toilet Maji Ndani umeme luku
Bei ni *250k*
Location ni *UBUNGO KIBO* *MSEWE DAKIKA 10-12 KUTEMBEA
Mazingira mazuri ndani ya gate na parking ipo
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347