Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT 4 MPYA KABISA ZINA PANGISHWA #MBEZI_LUGURUNI MANISPAA YA UBUNGO KM1 KUTOKA LAMI AU BODA
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Kodi 400,000/= × 6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
___
PIA HAPA HAPA KUNA CHUMBA, SEBULE NA JIKO. KODI 250,000/= × 6
-----------
For More informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp